menuA_1
MWANZO CHAMA SERA KATIBA TUUNGE MKONO UCHAGUZI TUWASILIANE
banner
MikakatiA_1
Mikakati ya Chama
»CHADEMA ni msingi
»Kuandaa Viongozi
»Wabunge/Madiwani
»Kutangaza Sera
»Mfumo wa uchaguzi
»Elimu ya siasa
»Makao Makuu
»Chaguzi zijazo
b.part
MengineyoA_1
Mengineyo
»Matamko ya Chama
»CHADEMA Bungeni
»Habari Mpya
»Hotuba mbalimbali
»Makala mbalimbali
»Picha za matukio
»Maoni Yenu
»Katuni

Mpango Mkakati wa Tano kwa 2006 -2010

Kuunganisha nguvu za kidemokrasia na kimaadili ili kudai na kushawishi mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi kwa kuwa na Tume huru, uwanja sawa wa kisiasa kwa vyama vyote na sheria nzuri za uchaguzi.
  1. Kwa kuwa imeonekana kuwa kukosekana kwa mifumo huru ya uchaguzi ni moja ya vyanzo vikuu vya kutofanya vizuri katika uchaguzi kuna haja ya kuzingatia kufanya hamasa/harakati za kudai mifumo huru ya uchaguzi kama sehemu ya kazi za msingi za kisiasa za CHADEMA.

  2. Kuhakikisha kuwa chama kinaendeleza asasi/taasisi ambayo itaweza kutekeleza programu mbalimbali za demokrasia na maendeleo mathalani: Kujiunga na mitandao sambamba na kushirikiana na mashirika mengine ya kiraia ya kitaifa na kimataifa; Kutoa elimu ya kisiasa,mafunzo kwa viongozi pamoja na kuunganisha nguvu za kidemokrasia/kimaadili nk.



lf.curl lf.curl2 rt.curl2 rt.curl
footA_1