menuA_1
MWANZO CHAMA SERA KATIBA TUUNGE MKONO UCHAGUZI TUWASILIANE
banner
MikakatiA_1
Mikakati ya Chama
»CHADEMA ni msingi
»Kuandaa Viongozi
»Wabunge/Madiwani
»Kutangaza Sera
»Mfumo wa uchaguzi
»Elimu ya siasa
»Makao Makuu
»Chaguzi zijazo
b.part
MengineyoA_1
Mengineyo
»Matamko ya Chama
»CHADEMA Bungeni
»Habari Mpya
»Hotuba mbalimbali
»Makala mbalimbali
»Picha za matukio
»Maoni Yenu
»Katuni

Mpango Mkakati wa Sita kwa 2006 -2010

Kushirikiana na vyama vya kiraia katika kutoa elimu ya kisiasa kwa wananchi ili kuongeza uelewa na haki zao na kuwawajibisha viongozi wao.
  1. Mkazo utawekwa katika kutoa mafunzo kwa viongozi na wanachama kuanzia ngazi ya chini. Pia mkakati wa kuhamasisha chama kuwa serekali mbadala katika maeneo ambayo chama hakijashinda utafanyika kama inavyodokezwa katika masuala ya sera na sheria.

  2. Kuhakikisha kuwa chama kinaendeleza asasi/taasisi ambayo itaweza kutekeleza programu mbalimbali za demokrasia na maendeleo, mathalani: Kujiunga na mitandao sambamba na kushirikiana na mashirika mengine ya kiraia ya kitaifa na kimataifa; Kutoa elimu ya kisiasa, mafunzo kwa viongozi pamoja na kuunganisha nguvu za kidemokrasia/kimaadili nk.



lf.curl lf.curl2 rt.curl2 rt.curl
footA_1