Sekretariati ya chama imefanya maamuzi mbalimbali kuhusu masuala ya kiutendaji ya chama na kuandaa mapendekezo ya masuala mbalimbali ya kisera kwa mwaka 2012...
Maamuzi ya Kamati Kuu kuhusu Katiba
Kamati Kuu ya CHADEMA kimepokea na kujadili kwa kina taarifa ya majadiliano na kupitishwa kwa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba ya mwaka 2011...