menuA_1
MWANZO CHAMA SERA KATIBA TUUNGE MKONO UCHAGUZI TUWASILIANE
banner

Kuwa Mwana BAVICHA Leo!



Uanachama wa BAVICHA uko wa aina tatu;

  1. Wanachama Watarajiwa. Hawa wanaitwa CHEMCHEM, Wana umri kati ya miaka 12 mpaka 17. Hawana haki kushiriki michakato ya uchaguzi na maamuzi ya baraza. Watashiriki shughuli za chama na baraza. Watapewa vitambulisho maalumu vya BAVICHA.

  2. Wanachama wa Heshima. Hawa ni wanachama wa CHADEMA wenye mchango maalumu kwa BAVICHA, Ni wanachama wenye umri zaidi ya miaka 35. Watakuwa na vitambulisho maalumu vya BAVICHA, watashiriki shughuli za BAVICHA lakini hawatakuwa na haki ya kushiriki michakato ya uchaguzi na maamuzi ya BAVICHA.

  3. Wanachama wa kawaida. Hawa ndio wanachama mahsusi wa BAVICHA. Ni vijana wenye umri kati ya miaka 18 na 35. Watakuwa na kadi za BAVICHA, watashiriki shughuli zote za BAVICHA na watakuwa na haki zote za uanachama wa BAVICHA.

Fuata maelekezo yafuatayo hapo chini ili nawe uweze kujivunia kuwa mwanachama wa BAVICHA leo!


Hatua ya Kwanza

Jaza fomu ya uanachama kwa uangalifu na kisha tutumie. Hakikisha unajaza sehemu zote zenye alama ya nyota nyekundu.


Fomu ya Uanachama wa BAVICHA


Jina:
*
Jina la Uko:
*
Majina Mengine:

Tarehe ya kuzaliwa: *
Jinsia:
* Mwanaume Mwanamke
Makazi:
*
Anwani:
 
Kata:
 
Jimbo:
 
Wilaya:
 
Mkoa:
*
Nchi:
*
Simu:
 
Barua pepe:
 
Tovuti:
 
Namba ya Kadi ya Mpiga Kura:
 
Namba ya Kitambulisho cha Uraia:
 

Kazi:
 


Elimu:
 

Sababu au Nia yako:
 


lf.curl lf.curl2 rt.curl2 rt.curl
footA_2